Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Saturday, 10 September 2016

Ukiona dalili hizi juu ni dalili za kuota kijinyama sehemu ya haja kubwa

Kuota kijinyama sehemu ya haja kubwa ni ugonjwa wa bawasiri unaotokana na kuathirika kwa mishipa ya damu ya ndani na nje ya sehemu ya haja kubwa na wakati mwingine mishipa hiyo huweza kupasuka/kuteleza na kuvuja damu kwenye njia ya haja kubwa na kasababisha kutoka kinyama au uvimbe.

Kama utakuwa mfuatiliaji mzuri wa tovuti hii bila shaka utakuwa umeshazifahamu chanzo cha tatizo hili na sasa ni zamu ya kuzifahamu dalili zake.

1. Kuwashwa  katika eneo la tundu la haja kubwa
2. Kuhisi maumivu wakati wa kujisaidia
3. Kutokea uvimbe au kijinyama katika eneo la tundu la haja kubwa.
4. Kupata haja kubwa yenye kuambatana na damu na kuwa na harufu mbaya.

Mara nyingi tatizo hili huondolewa kwa kukatwa kinyama hicho baada , lakini pia si vibaya ukatambua kuwa hata kabeji huweza kusaidia kutatua tatizo hilo. Kama ungependa kufahamu namna gani utaweza kuitumia kabeji ili kuondokana na tatizo hilo basi usisite kutupigia kwa simu namba 0716 300 200/ 0769 400 800/ 0784 300 300 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Ushauri huu umetolewa chini ya Shirika lisilokuwa la Kiserikali la The Work Up Tanzania (WUTA) ambalo linadhamira ya dhati ya kupambana na umasikini, ujinga na maradhi kwa kuhamasisha matumizi ya lishe bora. Pia unaweza kufika ofisini kwetu Ukonga Mongolandege jijini Dar es Salaam kwa ushauri zaidi

1 comment: