Saturday, 15 October 2016

Aina 5 ya vyakula &matunda yenye kuimarisha tendo la ndoaKuna baadhi ya vyakula vinapotumiwa na wanaume huweza kuwa miongoni mwa suluhisho la tatizo la upungufu wa nguvu za kiume .

Leo ninavyo hapa nimeona ni vyema na wewe usomaji wangu ukapata orodha hii ya vyakula pamoja matunda na vinywaji ambayo husaidia kuimarisha tendo la ndoa.

 Kwanza unawezakutumia mbegu za maboga ambazo huwa na msaada mkubwa wa kuimarisha tendo la ndoa kutokana na kuwa na madini mbalimbali yakiwemo ya potassium na calcium.

Chai ya tangawizi, kinywaji hiki husaidia kusisimua mfumo wa mzunguko wa damu mwilini na hivyo kufanya damu kufika vizuri kwenye viungo vya uzazi.

Tunda la tikiti maji nalo ni moja ya visadizi vya tatizo hili endapo litatumika mara kwa mara ni vyema ukapata juisi yake angalau glasi mbili kila siku.

Matumizi ya asali pia huweza kutumika kama njia mbadala ya kumsaidia mtu aliyepatwa na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume,jambo la kufanya mhusika atahitajia kujenga utaratibu wa kunywa kijiko kimoja cha asali kila asubuhi na jioni kabla ya kwenda kulala angalau kwa wiki mbili mfululizo, lakini ili kupata matokeo mazuri zaidi asali hiyo inahitajika iwe asili yaani ambayo haijachanganywa na maji na pia kama mhusika ataweza kuiandaa kwa kuichanganya na unga wa mdalasini basi itakuwa na manufaa zaidi kwa wale wenye matatizo haya ya upungufu wa nguvu za kiume.

Ulaji wa ndizi mbivu nao husaidia kuboresha tendo la ndoa kwani nayo imesheheni madini ya potassium ambayo huhitajika pia kwenye masuala ya tendo la ndoa.

Kwa ushauri zaidi unaweza kuwasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Kumbuka kuwa, ushauri huu umetolewa chini ya Shirika lisilokuwa la Kiserikali la The Work Up Tanzania (WUTA) ambalo linadhamira ya dhati ya kupambana na umasikini, ujinga na maradhi kwa kuhamasisha jamii kuhusu matumizi ya lishe bora zitokanazo na mimea na matunda. Pia unaweza kufika ofisini kwetu Ukonga Mongolandege jijini Dar es Salaam kwa ushauri zaidi.


No comments:

Post a Comment