Tuesday, 18 October 2016

Faida tano za kutumia kinywaji cha mchaichaiMajani ya mchaichai ni moja ya kiungo kizuri ambacho hutumiwa kuongeza ladha ya kinywaji cha chai.

Majani ya mchaichai huwezi kusaidia mambo kadhaa na miongoni mwa mambo hayo ni haya yafuatayo:-

1. Unywaji wa maji ya mchaichai husaidia kushusha joto la mwili.

2. Husaidia kutuliza maumivu mbalimbali ndani ya mwili.

3. Pia matumizi ya kinywaji chenye mchaichai husaidia kuondoa kichefuchefu

4. Hutuliza maumivu ya tumbo

5. Husaidia kurekebisha mmeng'enyo wa chakula tumboni

Kwa maelezo zaidi kuhusu mada hii na mengine mengi tutafute kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Kumbuka kuwa, ushauri huu umetolewa chini ya Shirika lisilokuwa la Kiserikali la The Work Up Tanzania (WUTA) ambalo linadhamira ya dhati ya kupambana na umasikini, ujinga na maradhi kwa kuhamasisha jamii kuhusu matumizi ya lishe bora zitokanazo na mimea na matunda. Pia unaweza kufika ofisini kwetu Ukonga Mongolandege jijini Dar es Salaam kwa ushauri zaidi.

No comments:

Post a Comment