Advertisement

Advertisement

Shop

Shop

Mixer

Mixer

Wednesday, 19 October 2016

Je, umewahi kutumia mafuta ya soya? zipo hapa faida zake kiafya


Je, umewahi kutumia mafuta yatokanayo na mbegu za soya? haya ni mafuta ambayo yapo kwenye kundi la mafuta yatokanayo na mbogamboga.

Zifuatazo ni baadhi ya faida zitokanazo na mafuta hayo:-

1. Hupunguza kiwango cha cholesterol  mwilini hali ambayo humsaidia mtumiaji pia kuepuka magonjwa yasiyoambukizwa ikiwa ni pamoja na magonjwa yasiyoambukizwa.

2. Husaidia kuzuia matatizo ya ngozi kwa kuwa mafuta haya yana vitamin E.

3. Husaidia kuboresha afya ya mifupa kwasababu mafuta haya yana utajiri wa vitamin K ambayo husaidia kuimarisha mifupa.

Kwa maelezo zaidi kuhusu mada hii na mengine mengi tutafute kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Kumbuka kuwa, ushauri huu umetolewa chini ya Shirika lisilokuwa la Kiserikali la The Work Up Tanzania (WUTA) ambalo linadhamira ya dhati ya kupambana na umasikini, ujinga na maradhi kwa kuhamasisha jamii kuhusu matumizi ya lishe bora zitokanazo na mimea na matunda. Pia unaweza kufika ofisini kwetu Ukonga Mongolandege jijini Dar es Salaam kwa ushauri zaidi.

No comments:

Post a Comment