Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Monday, 3 October 2016

Juisi ya kiazi kikuu huweza kuondoa madoa usoni


Madoa kwenye ngozi huweza kusababishwa na sababu mbalimbali ikiwa ni pamoja na makovo ya jeraha au makovo yotokanayo na chunusi au magonjwa mengine kama vile matetekuwanga.

Wengi wamekuwa wakihangaika kuhusu namna sahihi ya kuondoa mabaka hayo ambayo kimsingi huharibu muonekano wa mhusika.

Sasa leo naomba utambue kuwa juisi ya kiazi kikuu huweza kuondoa mabaka kwenye ngozi ikiw itatumika vizuri:-

Unachopaswa kufanya ni kuandaa juisi hiyo ya kiazi kikuu, lakini ni vizuri iwe nzito kisha tumia juisi hii kupaka sehemu yenye tatizo au mabaka kisha sugua taratibu sana na kuacha kwa muda kabla ya kunawa.

Fanya zoezi hilo angalau kwa wiki 3 hadi 4 kila siku asubuhi na jioni ili kupata matokeo mazuri zaidi.

Kama utahitaji maelekezo zaidi kutoka kwetu basi usipate shida unaweza kuwasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Kumbuka kuwaushauri huu umetolewa chini ya Shirika lisilokuwa la Kiserikali la The Work Up Tanzania (WUTA) ambalo linadhamira ya dhati ya kupambana na umasikini, ujinga na maradhi kwa kuhamasisha jamii kuhusu matumizi ya lishe bora zitokanazo na mimea na matunda. Pia unaweza kufika ofisini kwetu Ukonga Mongolandege jijini Dar es Salaam kwa ushauri zaidi.

No comments:

Post a Comment