Wednesday, 19 October 2016

Maajabu ya majani ya mparachichi yanapotumika kama chai


Parachichi ni miongoni kati ya matunda ambayo yanasifika kwa kuwa na virutubisho mbalimbali ambavyo ni muhimu kwa afya ya binadamu.

Leo naomba kuzungumzia kuhusu umuhimu wa majani ya tunda hili na faida zake endapo yatatumiwa vizuri:-

Majani yake yanapochemshwa na kunywewa kama chai husaidia kuondoa matatizo ya uchovu wa mwili, maumivu ya kichwa, koo na tumbo.

Pia kutafuna majani hayo husaidia kupunguza matatizo ya vidonda vya mdomoni pamoja na kuimarisha afya ya meno na kupunguza maumivu kama yapo.

Kwa maelezo zaidi kuhusu mada hii na mengine mengi tutafute kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Kumbuka kuwa, ushauri huu umetolewa chini ya Shirika lisilokuwa la Kiserikali la The Work Up Tanzania (WUTA) ambalo linadhamira ya dhati ya kupambana na umasikini, ujinga na maradhi kwa kuhamasisha jamii kuhusu matumizi ya lishe bora zitokanazo na mimea na matunda. Pia unaweza kufika ofisini kwetu Ukonga Mongolandege jijini Dar es Salaam kwa ushauri zaidi.

No comments:

Post a Comment