Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Monday, 31 October 2016

Sababu 4 zinazomfanya mwanaume ashindwe kushiriki vizuri tendo la ndoa


Malalamiko ya wanaume kupungukiwa nguvu za kiume yamekuwa yakishika kasi na zimekuwa zikitajwa sababu mbalimbali za tatizo hilo ikiwa ni pamoja na vyakula ambavyo si rafiki kiafya pamoja na tabia ya kujichua.

Leo napenda tufahamu namna mwanamke anavyoweza kuchangia tatizo hilo kwa mwanaume:-

1. Kauli
Miongoni mwa mambo ambayo mwanaume hataki kuyasikia yakitoka kwenye kinywa cha mwanamke ni kuambiwa HAWEZI TENDO LA NDOA. Mwanamke akimwambia mwanaume wakati au baada ya tendo kuwa hawezi, atakuwa amemsababishia tatizo kubwa la kisaikolojia ambalo litampelekea kupotea nguvu za kiume taratibu.

2. Usafi
Mwanamke anapokuwa si msafi, huweza kumsababishia mwanaume matatizo ya upungufu wa nguvu za kiume. Uchafu ni moja ya kero wakati wa tendo, hivyo ni wazi kuwa mwanamke akiwa mchafu atamfanya mwanaume apoteze msisimko na uwezo wa tendo la ndoa.

3. Michepuko / usaliti
Tabia ya usaliti kwa mwanamke ni chanzo kingine cha mwanaume kupata tatizo la upungufu wa nguvu za kiume. Mwanaume anapohisi au kubaini kuwa anasalitiwa.

4. Ujuzi
Wanawake wengi hasa waliopo kwenye ndoa, wanapuuza ujuzi kwenye tendo la ndoa. Hawajishughulishi kumsaidia mwanaume huweza nao kuwa chanzo cha tatizo hilo kwa mwaume.

Tafadhali endelea kuwa karibu na tovuti yetu ya www.dkmandai.com, lakini pia unaweza kuwasiliana nasi kwa simu namba:-  0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com.

Kumbuka kuwa, ushauri huu umetolewa chini ya Shirika lisilokuwa la Kiserikali la The Work Up Tanzania (WUTA) ambalo linadhamira ya dhati ya kupambana na umasikini, ujinga na maradhi kwa kuhamasisha jamii kuhusu matumizi ya lishe bora zitokanazo na mimea na matunda. Pia unaweza kufika ofisini kwetu Ukonga Mongolandege jijini Dar es Salaam kwa ushauri zaidi.

No comments:

Post a Comment