Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Friday, 7 October 2016

Sababu & dalili na vyakula vyenye uwezo wa kumaliza tatizo la kutokuwa na mzunguko mzuri wa damu mwiini
Kwa kawaida ili binadamu awe na mwenye afya bora ni lazima kila kitu ndani ya mwili kiende vile inavyotakiwa ikiwa ni pamoja na mzunguko wa damu kuwa sawa.

 Zipo baadhi ya sababu kadhaa ambazo huweza kuchangia muznguko wa damu kuwa hafifu mwilini:-

1. Ukosefu wa mazoezi

2. Uvutaji sigara

3. Kukaa muda mrefu ukiwa unatumia kopyuta, hiyo nayo huweza kuwa sababu ya tatizo hili.

Zifuatazo ni dalili za tatizo la kutokuwa na mzunguko mzuri ndani ya mwili:-
1. Mabadiliko ya hali ya joto ya ngozi, kama baridi mikononi, miguuni au vidole.

2. Ganzi miguuni na mikononi

3. Ukosefu wa nguvu mwilini na stamina

4. Kukatika hovyo kwa nywele

5. Kupoteza kumbukumbu au kuwa hafifu

6. Kuhisi usingizi muda mwingi

7. Kupumua kwa shida

8. Kupungua kwa hamu ya kula

Vifuatavyo ni baadhi ya vyakula ambavyo huweza kuimarisha mzunguko wa damu mwilini

1. Ulaji wa nyanya
2. Kitunguu maji
3. Tangawizi
4. Ufanyaji wa mazoezi

Kwa ushauri zaidi unaweza kuwasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Kumbuka kuwa, ushauri huu umetolewa chini ya Shirika lisilokuwa la Kiserikali la The Work Up Tanzania (WUTA) ambalo linadhamira ya dhati ya kupambana na umasikini, ujinga na maradhi kwa kuhamasisha jamii kuhusu matumizi ya lishe bora zitokanazo na mimea na matunda. Pia unaweza kufika ofisini kwetu Ukonga Mongolandege jijini Dar es Salaam kwa ushauri zaidi.

No comments:

Post a Comment