Wednesday, 19 October 2016

Hizi hapa siri 2 muhimu za kutumia mchanganyiko wa ndizi na maziwa

Ndizi ni miongoni mwa matunda ambayo unaweza pia kuyaweka kwenye kundi la matunda bora na yenye virutubisho vya kutosha.

Lakini ndizi hiyo zinapochanganywa na maziwa ambayo pia yana vitamin A, B-12 pamoja na protini halikadhalika na madini kadhaa kama vile magnesium, potassium  na sodium ambayo yote ni muhimu kwa afya yetu wanadamu huweza kuwa na faida lukuki zaidi.

Zifuatazo ni baadhi ya faida za maziwa yanapochanganywa na ndizi:-

Huusaidia mwili kupunguza kiwango cha sumu zitokanazo na vyakula mbalimbali tunavyotumia katika maisha yetu ya kila siku.
Mchanganyiko wa maziwa na ndizi
Moja ya faida ya mchanganyiko husaidia kuongeza hamu ya kula kwa wale wenye tatizo la kukosa hamu ya kula na kuwafanya kuhisi njaa mara kwa mara wanapotumia mchanganyiko huu.

Hayo ni machache kuhusu mchanganyiko huu kwa mengine mengi kama haya tutafute kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pep dkmandaitz@gmail.com

Kumbuka kuwa, ushauri huu umetolewa chini ya Shirika lisilokuwa la Kiserikali la The Work Up Tanzania (WUTA) ambalo linadhamira ya dhati ya kupambana na umasikini, ujinga na maradhi kwa kuhamasisha jamii kuhusu matumizi ya lishe bora zitokanazo na mimea na matunda. Pia unaweza kufika ofisini kwetu Ukonga Mongolandege jijini Dar es Salaam kwa ushauri zaidi.

No comments:

Post a Comment