Thursday, 6 October 2016

Ulaji wa ndizi hutoa ahueni kwa wenye tatizo la kukosa choo


Tatizo la ukosefu wa choo huchangiwa na sababu mbalimbali ikiwa ni pamoja na ukosefu wa vyakula vyenye asili ya nyuzinyuzi pamoja na majimaji.

Lakini pia kuna sababu kadhaa ambazo huweza kuchangia tatizo hili kama ifuatavyo:-

Mlo kukosa kabisa nyuzinyuzi au 'fiber'

Kutofanya mazoezi ya viungo

Matumizi kadhaa ya dawa.

Pamoja na sababu hizo ndizi huweza kusaidia kupunguza tatizo hilo endapo zitaandaliwa vizuri.

Sasa jambo la kufanya ni kuandaa ndizi zako kisha kuzikata katika vipande vidogo vidogo na baada ya hapo utazisaga kisha utachanganya na kikombe kimoja cha maziwa na kama utahitaji ladha nzuri zaidi unaweza kuongeza na asali kidogo.

Baada ya hatua hizo utatumia juisi hiyo mara mbili kwa siku na ili kupata matokeo mazuri zaidi

Pia unaweza kuwasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Kumbuka kuwa, ushauri huu umetolewa chini ya Shirika lisilokuwa la Kiserikali la The Work Up Tanzania (WUTA) ambalo linadhamira ya dhati ya kupambana na umasikini, ujinga na maradhi kwa kuhamasisha jamii kuhusu matumizi ya lishe bora zitokanazo na mimea na matunda. Pia unaweza kufika ofisini kwetu Ukonga Mongolandege jijini Dar es Salaam kwa ushauri zaidi.

No comments:

Post a Comment