Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Tuesday, 18 October 2016

Umuhimu wa matumizi ya soya kiafyaSoya ni aina ya mboga ambayo ipo katika jamii ya maharagwe ni chakula, lakini pia unaweza kusema ni tiba lishe kutokana na virutubisho ilivyonavyo.

Soya ina vitamin A, C, D, E, F, G, H, K pamoja na vitamin B complex  ambavyo vyote ni muhimu kwa sia ya binadamu.

Soya ina virutubisho vyote vya asili ambavyo vinaweza kupatikana kwenye maziwa, nyama au mayai.

Miongoni mwa faida za soya mwilini ni pamoja na kuboresha utendaji kazi wa ubongo, hivyo ni moja ya chakula kizuri sana wazee, watoto  na watu wenye udhaifu  .

Aidha, inaelezwa kuwa unga wa soya umesheheni wingi wa protini pamoja na madini ya calcium.

Kwa maelezo zaidi unaweza kuwasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200/ 0769 400 800/ 0784 300 300 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com.

Kumbuka kuwa ushauri huu umeletwa kwako kwa udhamini wa taasisi isiyokuwa ya kiserikali iitwayo THE WORK UP TANZANIA(WUTA) yenye dhamira ya dhati ya kupamabana na umasikini, magonjwa pamoja na ujinga kwa kutumia vitu asili au mazingira yanayoizunguka jamii. Tunapatikana Ukonga Mongolandege jijini Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment