Wednesday, 5 October 2016

Zipo hapa faida za juisi kiafya


Faida za ndizi zipo nyingi, lakini kwa leo tutafahamishana faida kadhaa ambazo huweza kutokana na juisi ya tunda hili.

Zifuatazo ni faida za ndizi kiafya:-
Juisi ya ndizi inautajiri vitamin mbalimbali ikiwa ni pamoja na vitamin C, B3, B5, B6 vitamin zote hizo huwa na umuhimu ndani ya mwili wa mwanadamu ikiwa ni pamoja na kuimarisha kinga za mwili.

Ni juisi yenye utajiri wa nyuzinyuzi yaani 'fiber' ambayo husaidia kuboresha umeng'enyaji chakula tumboni.

Kwa mengine mengi zaidi tutafute kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

No comments:

Post a Comment