Friday, 14 October 2016

Zipo hapa sifa za papai na tikitimaji kiafya


Haya ni miongoni mwa matunda ambayo ni muhimu mwilini na husaidia kujenga afya ya miili yetu.

Matunda haya pia yanaelezwa kuwa ni mazuri hata kwa wele wenye shida ya kisukari kwani yanaelezwa kuwa na kiwango kikubwa cha ufumwele yaani fiber' na hivyo kutoa mchango katika kuimarisha kiwango cha sukari ndani ya mwili.

Hivyo ni vyema kuweka utaratibu wa kula angalau tunda moja kati ya haya kila siku ili kuendelea kuwa na afya bora pamoja na kuimarisha kinga za mwili.

Kwa ushauri zaidi unaweza kuwasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Kumbuka kuwa, ushauri huu umetolewa chini ya Shirika lisilokuwa la Kiserikali la The Work Up Tanzania (WUTA) ambalo linadhamira ya dhati ya kupambana na umasikini, ujinga na maradhi kwa kuhamasisha jamii kuhusu matumizi ya lishe bora zitokanazo na mimea na matunda. Pia unaweza kufika ofisini kwetu Ukonga Mongolandege jijini Dar es Salaam kwa ushauri zaidi.

No comments:

Post a Comment