Wednesday, 30 November 2016

Faida 3 zitakazokufanya uache kutupa mbegu za papai na kuanza kuzitumia


Papai ni moja ya tunda lenye ladha nzuri na hivyo linapendwa na watu wengi, lakini pia ni tunda ambalo limekuwa likitumika kwa wele wenye tatizo la kukosa choo.

Hapa ninazo faida kadhaa za mbegu za tunda hilo ambazo nitajaribu kukueleza kwa kifupi lakini ikiwa utahitaji undani zaidi utawasiliana nami kwa simu namba 0716 300 200 na 0769 400 800. Karibu sasa tuzifahamu faida hizo hapa chini:-

Husaidia kwa wenye tatizo la amiba
Tatizo hili huweza kuisha endapo mhusika atatumia mbegu hizo za papai mara baada ya kusagwa na kuwa unga.

Kuongeza uimara wa kinga za mwili.
Mbegu za papai pia zina nafasi ya kuimarisha kinga za mwili endapo zitatumika mara kwa mara na hivyo kumfanya mhusika kutosongwa na magonjwa ya mara kwa mara.

Hutumika kama mbadala wa kupambana na vijidudu vya magonjwa
Mbegu hizi tunaweza kusema ni antibacterial agent kwani huwa na uwezo wa kupambana na vijidudu mbalimbali vinavyosababisha magonjwa ikiwa ni pamoja na yale ya U.T.I na typhoid pia.

Kwa maelezo zaidi tupigie kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com.

Kumbuka kwamba dondoo hizi zimeletwa kwenu chini ya udhamini wa The Work Up Tanzania shirika lisilokuwa la kiserikali lenye dhamira ya dhati ya kumbana na umasikini ujinga na maradhi. Tunapatikana Ukonga, Mongolandege zilipokuwa ofisi za Mandai Herbalist Clinic zamani.

No comments:

Post a Comment