Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Sunday, 6 November 2016

Mambo 7 muhimu ambayo humsaidia mtoto kukua vizuri

Siku zote wazazi hutegemea watoto wao wakue vizuri ili baadae wawe watu wazima na kuweza kujitegemea na kusaidia familia zao na hata jamii kwa ujumla.

Pamoja na wazazi wengi kutamani hivyo, lakini baadhi ya wazazi wamekuwa wakishindwa kufahamu mambo gani ya kufanya ili kuwasaidia watoto wao kufikia malengo hayo. 

Ninazo hapa dondoo chache ambazo zinaweza kusaidia mtoto kukua vizuri na kufikia malengo endapo mzazi atazingatia:-

Mtoto ili akue vizuri kimwili na kiakili, huhitaji huduma muhimu kama vile chakula kilicho na mchanganyiko wa virutubisho vyote na vyenye kujitosheleza na kuleta manufaa mwilini, lakini vyakula hivyo ni vyema vikaendana na umri wa mtoto katika kipindi husika.

Pia mtoto anahitaji huduma za afya, uchangamshi, upendo, mafunzo ya awali, ulinzi, usalama na mazingira safi na salama ili akue vyema na aendelea kubaki salama.

Kwa  mawasiliano zaidi tupigie kwa simu nanmba +255 716 300 200/ +255 784 300 300/ +255 784 300 300.

Kumbuka kwamba dondoo hizi zimeletwa kwenu chini ya udhamini wa The Work Up Tanzania shirika lisilokuwa la kiserikali lenye dhamira ya dhati ya kumbana na umasikini ujinga na maradhi. Tunapatikana Ukonga, Mongolandege zilipokuwa ofisi za Mandai Herbalist Clinic zamani.


No comments:

Post a Comment