Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Sunday, 20 November 2016

Mambo matano yatakayokufanya uwe na afya bora kila siku


Wengi wamekuwa wakituuliza mtindo bora wa maisha ni upi? Jibu ni kwamba mtindo bora wa maisha ni kuishi kwa kuzingatia kanuni za afya. 

Kimsingi mtindo bora wa maisha unahusisha haya yafuatayo:-

1. Kuzingatia ulaji bora 

2. Kufanya mazoezi ya mwili 

3. Kuepuka matumizi ya pombe 

4.  Kuepuka matumizi ya sigara au bidhaa zitokanazo na tumbaku na madawa ya kulevya 

5.  Kuepuka msongo wa mawazo

Kwa maelezo zaidi tupigie kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com.

Kumbuka kwamba dondoo hizi zimeletwa kwenu chini ya udhamini wa The Work Up Tanzania shirika lisilokuwa la kiserikali lenye dhamira ya dhati ya kumbana na umasikini ujinga na maradhi. Tunapatikana Ukonga, Mongolandege zilipokuwa ofisi za Mandai Herbalist Clinic zamani.

No comments:

Post a Comment