Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Monday, 21 November 2016

Mambo yamsingi yakuyafahamu kuhusu maji


Kunywa maji safi na salama ya kutosha kuna umuhimu mkubwa katika lishe na afya ya binadamu.

Kwa kawaida mwili ili ufanye kazi vizuri hauwezi kufanyika vizuri bila ya maji. Hivyo maji ni muhimu sana mwilini.

Kimsingi hata kama unapata vyakula bora na vyenye virutubisho vya kutosha lakini kama haupati nafasi ya kunywa maji ya kutosha basi hata hivyo virutubisho havitaweza kusambaa ipasavyo ndani ya mwili

Zifuatazo ni faida za maji mwilini:-

1. Hurekebisha joto la mwili

2. Husaidia katika uyeyushwaji wa chakula.

3. Husafirisha virutubishi kwenda kwenye seli

4.  Huondoa mabaki/uchafu mwilini kwa njia ya jasho, mkojo n.k

5.  Husaidia kulainisha viungio 'joint' za mwili

Kwa maelezo zaidi tupigie kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com.

Kumbuka kwamba dondoo hizi zimeletwa kwenu chini ya udhamini wa The Work Up Tanzania shirika lisilokuwa la kiserikali lenye dhamira ya dhati ya kumbana na umasikini ujinga na maradhi. Tunapatikana Ukonga, Mongolandege zilipokuwa ofisi za Mandai Herbalist Clinic zamani.

No comments:

Post a Comment