Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Friday, 4 November 2016

Matabibu wa tiba asili nchini walipokutana na Waziri Mkuu Majaliwa

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa na wataalam wa Tiba asili nchini,  huku Tabibu Abdallah Mandai akiwa nyuma ya mheshimiwa waziri mkuu
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akiwa na wataalam wa Tiba Asili nchini Tanzania katika viwanja vya Bunge, Dodoma.

Wataalam hao wa tiba asili wako mjini humo kwa mwaliko wa Makamu Mwenyekiti wao ambaye pia ni Mbunge wa Korogwe Vijijini Stephene Ngonyani ' Profesa Maji Marefu wapili kutoka kushoto mstari wa nyuma.

1 comment:

 1. http://pacquiaovvargaslive.com/
  http://pacquiaovvargaslive.com/
  http://pacquiaovvargaslive.com/
  http://pacquiaovvargaslive.com/
  http://pacquiaovvargaslive.com/
  http://pacquiaovvargaslive.com/
  http://pacquiaovvargaslive.com/

  ReplyDelete