Tuesday, 15 November 2016

Namna ya kutumia juisi ya viazi kwa lengo la kupunguza unene


Mara nyingi tumekuwa tukipokea maswali kutoka kwa wadau wetu wakihitaji kujua ni namna gani wanaweza kupunguza unene uliopitiliza.

Hivyo leo nimeona nikusogezee hii njia ambayo huweza kukusaidia kupunguza unene uliopitiliza.

Hapa nitazungumzia juisi ya viazi mviringo, juisi hii humsaidia mhusika ambaye anahitaji kupunguza uzito ambapo atahitajika kunywa juisi hiyo asubuhi.

Mhusika atahitajika kunywa juisi hiyo asubuhi kabla ya kula chochote pia ni vyema juisi hiyo ikawa fresh.

Juisi hiyo unaweza kuchanganya na asali kiasi kidogo ili kupata matokeo mazuri zaidi.

Lakini kama utahitaji kufahamu namna ya kuiandaa vyema juisi hii unaweza kutupigia kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Kumbuka kwamba dondoo hizi zimeletwa kwenu chini ya udhamini wa The Work Up Tanzania shirika lisilokuwa la kiserikali lenye dhamira ya dhati ya kumbana na umasikini ujinga na maradhi. Tunapatikana Ukonga, Mongolandege zilipokuwa ofisi za Mandai Herbalist Clinic zamani.

No comments:

Post a Comment