Friday, 11 November 2016

Namna ya kuziandaa mbegu za mlonge kwa wenye vidonda vya tumbo

Mlonge ni mti ambao umetokea kujizolea umaarufu sana kutokana na uwezo wake wa kutibu magonjwa mbalimbali hasa pale unapotumika vizuri.

Asili ya mti huu wa mlonge ni Uhindi, lakini kwa sasa mti huu hupandwa kanda za tropiki na umekuwa ukipatikana sehemu mbalimbali za nchi hapa nyumbani Tanzania.

Moja ya sifa za mti huu ni kuwa tiba kila sehemu ya mti huu yaani kuanzia mbegu zake, magome, majani pamoja na mizizi.

Lengo langu leo ni kukujuza uwezo wa mbegu za mlonge katika kupunguza madhara ya vidonda vya tumbo.

Ili mbegu hizi ziweze kuwa msaada kwa mtu mwenye vidonda vya tumbo atatakiwa kukausha mbegu za mlonge na kuzisaga na kisha kisha kutumia unga huo.

Ikiwa utapenda kufahamu unga huo unatakiwa utumike kwenye nini na kiasi gani na mara ngapi kwa siku basi tupigie simu kwa namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 na tutkupatie ufafanuzi zaidi. Au wasiliana nasi kwa email ya dkmandaitz@gmail.com.

Kumbuka kwamba dondoo hizi zimeletwa kwenu chini ya udhamini wa The Work Up Tanzania shirika lisilokuwa la kiserikali lenye dhamira ya dhati ya kumbana na umasikini ujinga na maradhi. Tunapatikana Ukonga, Mongolandege zilipokuwa ofisi za Mandai Herbalist Clinic zamani.

No comments:

Post a Comment