Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Saturday, 19 November 2016

Picha: Hawa ndio wakufunzi waliotunukiwa vyeti na SIDO

Meza kuu
Novemba 19/ 2016 Shirika la viwanda vidogo vidogo SIDO lilikuwa likihitimisha mafunzo ya wakufunzi wa usindikaji chakula na ujasiriamali.

Mafunzo hayo yalifungwa na mwakirishi kutoka wizara ya biashara na viwanda ambaye ni Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya viwanda vidogo na biashara Ndugu: Boniphace Michael

Hapa ninazo picha za wakufunzi wote walioshiriki mafunzo hayo na kufanikiwa kutunukiwa cheti.


Kwa maelezo zaidi au ushauri unaweza  kuwasiliana nasi kwa simu namba +255 716 300 200/ + 255 769 400 800/ + 255 784 300 300 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

No comments:

Post a Comment