Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Thursday, 17 November 2016

Tangawizi huweza kusaidia tatizo la mkojo mchafu


Tatizo la mkojo mchafu ni moja ya mambo ambayo huwakumba watu wengi katika jamii zipo sababu kadhaa ambazo huchangia tatizo hili ikiwa ni pamoja na U.T.I

Kimsingi ni vyema kuonana na wataalam wa afya mara uonapo dalili za tatizo hili ikiwa ni pamoja na kuhisi haja ndogo mara kwa mara, mkojo kuambatana na maumivu n.k

Leo napenda kukwambia kuwa tangawizi ni moja ya kiungo ambacho huweza kusaidia kupunguza madhara ya tatizo la mkojo mchafu.

Unachopaswa kufanya ni kusaga tangawizi na kuichemsha pamoja na maji kisha tumia kwa kunywa kama chai asubuhi na jioni kwa muda wa siku saba mfululizo kutakuwa na nafasi ya kusaidika.

Kama utapenda kujua namna sahihi ya kuandaa chai hii ya tangawizi wasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Kumbuka kwamba dondoo hizi zimeletwa kwenu chini ya udhamini wa The Work Up Tanzania shirika lisilokuwa la kiserikali lenye dhamira ya dhati ya kumbana na umasikini ujinga na maradhi. Tunapatikana Ukonga, Mongolandege zilipokuwa ofisi za Mandai Herbalist Clinic zamani.

No comments:

Post a Comment