Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Thursday, 17 November 2016

Zifahamu hizi faida 5 za michezo kiafya & kijamii

Moja ya madhara ya kutoshiriki michezo ni pamoja na mhusika kusongwa na matatizo ya kuwa na uzito mkubwa (obesity).

Aidha, zipo faida za michezo ikiwa ni pamoja na hizi zifuatazo:-

1. Wanamichezo siyo rahisi kupata magonjwa ya kisukari

2. Shinikizo kubwa la damu, 

3. Michezo huimarisha  afya ya akili 

4. Michezo huleta furaha katika jamii.

5. Michezo huleta ushirikiano katika jamii.

Kwa maelezo zaidi tupigie kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com.

Kumbuka kwamba dondoo hizi zimeletwa kwenu chini ya udhamini wa The Work Up Tanzania shirika lisilokuwa la kiserikali lenye dhamira ya dhati ya kumbana na umasikini ujinga na maradhi. Tunapatikana Ukonga, Mongolandege zilipokuwa ofisi za Mandai Herbalist Clinic zamani.

1 comment: