Saturday, 24 December 2016

Aina 2 za mafuta ya asili yenye uwezo wa kupunguza maumivu ya viungo 'joint'


Karibu tuendelee kufahamishana mambo mbalimbali kuhusu namna sahihi na nzuri ya kutumia bidhaa asili kutatua matatizo yetu mbalimbali ya kiafya.

Bado tunaendelea kufahamishana kuhusu maumivu ya viungo au joint na namna ya kukabiliana na tatizo hilo.

Kwa sasa napenda kukwambia kuhusu aina hizi mbili za mafuta ambayo ni ya asili na yakitumika vizuri huweza kuondoa tatizo la maumivu ya viungo vya mwili.

1. Mafuta ya mzaituni.

2. Mafuta ya parachichi

Sasa basi ili kufahamu undani wa matumizi ya mafuta hayo  wasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 na tutakuelekeza vizuri.

Kumbuka kuwa, ushauri huu umetolewa chini ya Shirika lisilokuwa la Kiserikali la The Work Up Tanzania (WUTA) ambalo linadhamira ya dhati ya kupambana na umasikini, ujinga na maradhi kwa kuhamasisha jamii kuhusu matumizi ya lishe bora zitokanazo na mimea na matunda. Pia unaweza kufika ofisini kwetu Ukonga Mongolandege jijini Dar es Salaam kwa ushauri zaidi.

No comments:

Post a Comment