Saturday, 24 December 2016

Fahamu aina hizi za viungo vyenye uwezo wa kupunguza maumivu ya misuli na joint


Matatizo ya maumivu ya viungo ni moja ya mambo ambayo yanawakabili watu wengi hususani watu wengi hasa wazee.

Licha ya kwamba tatizo hili kwasasa huweza kuwakumba hata wale ambao si wazee kutokana na mtindo wa maisha pamoja na uhalisia wa mazingira ya mtu anamoishi au kupatikana.

Hapa ninayo orodha ya viungo ambavyo kama ukijua kuvitumia kiufasaha zaidi basi vitakusaidia kupunguza tatizo la maumivu ya viungo vya mwili hususani sehemu za maungio yaani 'joint'.

Viungo hivyo ni kama vifuatavyo:-

1. Kitunguu swaumu.

2. Binzari / manjano

3. Tangawizi

4. Mdalasini

Sasa basi ili kufahamu undani wa matumizi ya viungo hivi wasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 .

Kumbuka kuwa, ushauri huu umetolewa chini ya Shirika lisilokuwa la Kiserikali la The Work Up Tanzania (WUTA) ambalo linadhamira ya dhati ya kupambana na umasikini, ujinga na maradhi kwa kuhamasisha jamii kuhusu matumizi ya lishe bora zitokanazo na mimea na matunda. Pia unaweza kufika ofisini kwetu Ukonga Mongolandege jijini Dar es Salaam kwa ushauri zaidi.

No comments:

Post a Comment