Thursday, 22 December 2016

Fahamu mambo mengine mazuri kuhusu karoti hapa

Karoti ni kiungo ambacho hutumika kuboresha muonekano wa chakula na kuongeza ladha pia.

Karoti ina uwezo wa kusaidia matatizo yafuatayo:-

Inaelezwa kuwa karoti inaweza kuongeza cha manii 'sperm' kwa wanaume

Pia husaidia kuboresha umeng'enyaji wa chakula tumboni na hivyo kupunguza uwezekano wa matatizo ya tumbo ya mara kwa mara.

Aidha, karoti pia zinasifika kwa kuongeza uwezo wa kinga za mwili kuimarika zaidi, hivyo mwanaume anayetumia kiungo hiki huwa na kinga imara kuliko yule asiyetumia.

Ulaji wa karoti angalau moja kila siku husaidia kupunguza uwezekano wa matatizo ya maumivu ya mifupa mwilini hususani sehemu za joint.

Kwa ushauri zaidi na usisite kutupigia kwa simu namba:- 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Ushauri huu umetolewa chini ya Shirika lisilokuwa la Kiserikali la The Work Up Tanzania (WUTA) ambalo linadhamira ya dhati ya kupambana na umasikini, ujinga na maradhi kwa kuhamasisha jamii kuhusu matumizi ya lishe bora. Pia unaweza kufika ofisini kwetu Ukonga Mongolandege jijini Dar es Salaam kwa ushauri zaidi.

No comments:

Post a Comment