Monday, 12 December 2016

Faida 7 za tikiti maji kwa wanawake


Tikiti mji ni tunda ambalo lina faida nyingi ikiwa ni pamoja na kuwa chanzo kizuri cha ‘Protini’ , nyuzinyuzi, pamoja na madini ya ‘Calcium’, ‘Phosphorus, ‘potassium’ magnesium ‘Chuma’,Vitamin A, B6, C.

Kutokana na virutubisho hivyo tunda hili linaingia kwenye orodha ya matunda ambayo huweza kuimarisha afya ya misuli na mfumo wa fahamu kufanya kazi zake vizuri na kumuondoa mhusika katika hatari ya kupata shinikizo la damu.

Faida 7 za tikiti  maji kiafya
  • Hubadilisha protin kuwa nishati
  • Hurekebisha muonekano mzuri wa ngozi
  • Huboresha afya ya ngozi
  • Hulinda afya ya kucha
  •  Husaidia kushusha na kutoa nafuu kwa wenye shinikizo la damu
  •  Hurahisisha mtiririko wa damu mwilini
  •  Huondoa sumu mwilini
Kwa maelezo zaidi au ufafanuzi kuhusu matumizi ya lishe na ulaji bora unaweza kuwasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com.

Kumbuka kuwa, ushauri huu umetolewa chini ya Shirika lisilokuwa la Kiserikali la The Work Up Tanzania (WUTA) ambalo linadhamira ya dhati ya kupambana na umasikini, ujinga na maradhi kwa kuhamasisha jamii kuhusu matumizi ya lishe bora zitokanazo na mimea na matunda. Pia unaweza kufika ofisini kwetu Ukonga Mongolandege jijini Dar es Salaam kwa ushauri zaidi.

No comments:

Post a Comment