Wednesday, 21 December 2016

Hii ni maalum kwa wale wanaume wenye tatizo la kuwahihi kufika kileleni

Mara nyingi nimekuwa nikipokea simu nyingi na sms kutoka kwa baadhi ya wanaume wakilalamika kuwa na tatizo la kuwahi kufika kileleni na kuhitaji kujua sababu ya tatizo hilo.

Leo nimeona nikuletee baadhi ya sababu ambazo huchangia tatizo hili la kuwahi kufika kileleni;

Kwanza kabisa msongo wa mawazo ni sababu ambayo huweza kuchangia tatizo hilo, wanaume wengi huishi wakiwa na msongo wa mawazo kutokana na hali ya ugumu wa maisha na sababu nyingine kadhaa. Hivyo hii huchangia tatizo hilo.

Kutojiamini au uoga, hali hii huwakuta wanaume wengi kwani wengi muda wote huishi kwa kudhani kuwa wanatatizo hilo na kuhisi kuwa si wakamilifu.

Pia tatizo la kuwahi kufika mapema kileleni huchangiwa sana na ulaji mbovu wa vyakula hapa tunazumgumzia vile vyakula vyema mafuta mengi na kuachana kabisa na vyakula vya asili.

Kukamia sana tendo au kutofanya mazoezi ya mwili pia ni sababu ya tatizo hili kwa baadhi ya wanaume hivyo ni vyema kuzingatia kufanya mazoezi angalau japo dakika 30 kila siku.

Hizo ni baadhi ya sababu ambazo huweza kuchangia tatizo hili la kuwahi kufika kileleni kwa wanaume hivyo ni vyema kujitahidi kuepukana nazo ili kuepuka tatizo hilo.

Kama unashida hii au tatizo la kukosa nguvu za kiume unaweza kutupigia simu sasa kwa namba 0716 300 200, 0784 300 300, 0769 400 800 au email dkmandaitz@gmail.com ili tukupatie ushauri wa haraka namna ya kukabiliana nalo tatizo hilo.

No comments:

Post a Comment