Friday, 2 December 2016

Lifahamu tunda pekee lililotajwa kwenye vitabu vya dini na faida zake 6 kiafya


Mtini ni moja kati ya matunda ambayo yametajwa pia katika vitabu vya dini, lakini tunda hili halifahamiki sana miongoni mwa watu wengi licha ya kwamba linafaida nyingi pia ndani ya mwili wa mwanadamu.

Tunda hili limesheheni virutubisho mbalimbali pamoja na madini ambayo huhitajika mwilini

Miongoni mwa madini ambayo hupatakana ndani ya tunda hili ni pamoja na madini ya chuma, 'potassium', zinc, 'copper', 'magnesium' pamoja na 'calcium'.

Kutokana na kuwa na madini ya chuma hulifanya tunda hili kuwa na nafasi nzuri ya kutengeneza seli nyekundu za damu ndani ya mwili na hivyo kupunguza uwezekano wa tatizo la anemia kwa mhusika.


Madini ya magnesium ambayo hupatikana ndani ya tunda la mtini husaidia pia kulinda afya ya nywele, huku madini ya calcium yakisaidi kulinda mwili na kuboresha afya ya mifupa.

Pamoja na hayo, inaelezwa kuwa matumizi ya tunda hili huweza kuwasaidia wale wenye tatizo la mgoro 'hemorrhoids' pamoja na goita

Ninazo hapa faida nyingine zaidi  za matumizi ya tunda hili la mtini:-
1. Huongeza nguvu ndani ya mwili.
2. Hurekebisha kiwango cha msukumo wa damu ndani ya mwili.
3. Hupunguza hatari ya kukumbwa na kisukari.
4. Hurekebisha umeng'enyaji wa chakula tumboni.
5. Hupunguza kiwango cha cholesterol ndani ya mwili
6. Hupunguza uwezekano wa tatizo ya upuaji (asthma)

Kwa maelezo zaidi au ufafanuzi kuhusu namna ya kulitumia tunda hili kwa manufaa ya kiafya unaweza kutupigia kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com.

Kumbuka kwamba dondoo hizi zimeletwa kwenu chini ya udhamini wa The Work Up Tanzania shirika lisilokuwa la kiserikali lenye dhamira ya dhati ya kumbana na umasikini ujinga na maradhi. Tunapatikana Ukonga, Mongolandege zilipokuwa ofisi za Mandai Herbalist Clinic zamani.

1 comment:

 1. Watch UFC 206 live Stream online Free 2016
  http://ufc206-live.net/
  http://ufc206-live.net/
  Panthers vs Seahawks live
  http://panthersvsseahawks-live.us/
  http://panthersvsseahawks-live.us/
  http://chiefsvsfalcons-live.us/
  http://lionsvssaints-live.us/
  http://ramsvspatriots-live.us/
  http://broncosvsjaguars-live.us/
  http://dolphinsvsravens-live.us/
  http://texansvspackers-live.us/
  http://eaglesvsbengals-live.us/
  http://giantsvssteelers-live.us/
  http://redskinsvscardinals-live.us/
  http://billsvsraiders-live.us/
  http://buccaneersvschargers-live.us/
  http://panthersvsseahawks-live.us/
  http://nfl2016live.blogolize.com/
  http://nfl2016live.blogocial.com/
  http://nfl2016live.onesmablog.com/
  http://nfl2016live.shotblogs.com/
  http://nfl2016livestream.allthingsme.net/
  http://nfl2016livestream.authenticfans.com/
  http://nfl2016livestream.beautifulmakings.com/
  http://nfl2016livestream.biglaunch.net/
  http://nfl2016livestream.blooming.me/
  http://nfl2016livestream.creativist.me/
  http://nfl2016livestream.craftsaholic.com/
  http://nfl2016livestream.campaignsites.net/
  http://nfl2016livestream.doesphotography.com/
  http://nfl2016livestream.eventpages.org/
  http://nfl2016livestream.fashionistblog.com/
  http://nfl2016livestream.ishappynow.com/
  http://nfl2016livestream.iscookin.com/
  http://nfl2016livestream.garagepunks.com/
  http://nfl2016livestream.isintofashion.com/
  http://nfl2016livestream.ismissed.com/
  http://nfl2016livestream.ismykitty.com/
  http://nfl2016livestream.ismyreal.name/
  http://nfl2016livestream.isourchurch.com/
  http://nfl2016livestream.isteaching.com/
  http://nfl2016livestream.isthephotographer.com/
  http://nfl2016livestream.isinthehouse.com/
  http://nfl2016livestream.justgotmarried.net/
  http://nfl2016livestream.keepsblogging.com/
  http://nfl2016livestream.likeapro.me/
  http://nfl2016livestream.likes2ride.com/
  http://nfl2016livestream.littleprofiles.com/
  http://nfl2016livestream.loves-the-game.com/
  http://nfl2016livestream.makesit.net/
  http://nfl2016livestream.makesnoise.com/
  http://nfl2016livestream.plays-guitar.com/
  http://nfl2016livestream.portfolik.com/
  http://nfl2016livestream.productzone.net/
  http://nfl2016livestream.singerprofile.net/
  http://nfl2016livestream.snack.ws/
  http://nfl2016livestream.restaurantpages.net/
  http://nfl2016livestream.snackblogger.com/
  http://nfl2016livestream.theclever.me/
  http://nfl2016livestream.stylelists.net/
  http://nfl2016livestream.thecrazy.me/
  http://nfl2016livestream.thefanbase.net/
  http://nfl2016livestream.thenerd.me/
  http://nfl2016livestream.thepopular.me/
  http://nfl2016livestream.thepro.dj/
  http://nfl2016livestream.trustmeimapro.com/
  http://nfl2016livestream.willgetmarried.com/

  ReplyDelete