Tuesday, 13 December 2016

Mambo matano ambayo huweza kutokea wakati wa mzunguko (Period)

Mzunguko wa hedhi huwa na siku 21 mpaka 35, zaidi au chini ya hapo huashiria tatizo. Mwanamke huwa katika hedhi kwa wastani wa siku 3 hadi 7, zikizidi zaidi ya siku 7 kwenye hedhi huweza kuashiria tatizo pia

Hapa ninayo mambo matano ambayo huweza kumtokea mwanamke wakati wa hedhi
1. Kichwa kuuma
2.Maumivu ya tumbo
3. Kukosa hamu ya kula
4.  Kusikia kichefuchefu na hata wakati mwingine kutapika
5. Kuingia hedhi zaidi ya siku 7

Kwa ushauri zaidi tupigie kwa namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Kumbuka kuwa, ushauri huu umetolewa chini ya Shirika lisilokuwa la Kiserikali la The Work Up Tanzania (WUTA) ambalo linadhamira ya dhati ya kupambana na umasikini, ujinga na maradhi kwa kuhamasisha jamii kuhusu matumizi ya lishe bora zitokanazo na mimea na matunda. Pia unaweza kufika ofisini kwetu Ukonga Mongolandege jijini Dar es Salaam kwa ushauri zaidi.

No comments:

Post a Comment