Thursday, 29 December 2016

Sababu 6 za harufu mbaya sehemu za siri


1. Uchafu
2. Kujisafisha kupitiliza ambako huondoa bacteria wa asili ambao ni muhimu kwa viungo hivyo
3. Kuvaa nguo zilizobana kupita kiasi au zito
4. Kutumia vyakula vyenye viungo vingi
5. Kutumia sabuni zenye kemikali nyingi sehemu za siri
6. Kufulia nguo za ndani na sabuni zenye kemikali nyingi

Kwa maelezo zaidi na ushauri wasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com


No comments:

Post a Comment