Thursday, 8 December 2016

Sababu hizi 7 zitakutosha kukufanya uwe mpenzi wa mbogamboga

 http://s3.amazonaws.com/etntmedia/media/images/ext/906481222/spinach-8-perfect-fitness-foods.jpg
Watu wengi si wapenzi sana wa matumizi ya mboga za majani, licha ya kwamba mboga hizo zimesheheni virutubisho mbalimbali ambavyo ni muhimu kwa mwili wa binadam.

Zifuatazo ni baadhi ya faida za mboga za majani.

1. Husaidia kupunguza uwezekano wa kupatwa na matatizo ya moyo.

2. Husaidia kulinda afya  ya moyo kutokana na uwezo wake wa kupunguza kiwango cha lehemu ndani ya mwili.

3. Husaidia kudhibiti kiwango cha uzito wa mwili pia

4. Mboga za majani zina nafasi nzuri ya kukulinda dhidi ya tatizo la kisukari.

5. Hupunguza uwezekano wa kukumbwa na stroke.

6. Ulaji wa mboga za majani pia husaidia kulinda afya ya ngozi

7. Huongeza nguvu mwilini hasa unapotumia spinachi

Kwa ushauri zaidi unaweza kuwasiliana nasi kwa simu namba: 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Kumbuka kuwa, ushauri huu umetolewa chini ya Shirika lisilokuwa la Kiserikali la The Work Up Tanzania (WUTA) ambalo linadhamira ya dhati ya kupambana na umasikini, ujinga na maradhi kwa kuhamasisha jamii kuhusu matumizi ya lishe bora zitokanazo na mimea na matunda. Pia unaweza kufika ofisini kwetu Ukonga Mongolandege jijini Dar es Salaam kwa ushauri zaidi.No comments:

Post a Comment