Monday, 19 December 2016

Sababu ya maumivu wakati wa tendo la ndoa


KUNA baadhi ya wanawake hupatwa na maumivu wakati wa kushiriki tendo la ndoa

Maumivu haya yanaweza kutokea wakati wa kushiriki tendo hilo au baada ya kumaliza tendo hilo. Sababu kuu za maumivu haya mara nyingi huwa ni magonjwa ya zinaa na kupungua kwa majimaji ukeni wakati wa ngono.

Mara nyingi maumivu haya huwa kwenye kuta za uke, shingo ya uzazi au chini ya kitovu.

Ili kufahamu namna nzuri ya kupambana na tatizo hili nipigie kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au email. dkmandaitz@gmail.com

Kumbuka kuwa, ushauri huu umetolewa chini ya Shirika lisilokuwa la Kiserikali la The Work Up Tanzania (WUTA) ambalo linadhamira ya dhati ya kupambana na umasikini, ujinga na maradhi kwa kuhamasisha jamii kuhusu matumizi ya lishe bora zitokanazo na mimea na matunda. Pia unaweza kufika ofisini kwetu Ukonga Mongolandege jijini Dar es Salaam kwa ushauri zaidi.


2 comments: