Wednesday, 14 December 2016

Ukweli kuhusu tatizo la uzazi kwa wanaume

Ugumba kwa mwanaume, ni hali ambayo humtokea mwanaume na kushindwa kumpa mimba mwanamke.

Ugumba kwa wanaume kwa kiasi kikubwa husababishwa na tatizo katika uzalishaji na utoaji wa mbegu za uzazi.

Kimsingi unaposema mwanaume ni mgumba ni pale anapokuwa ameishi na mwanamke kwa mwaka mmoja na kushiriki tendo la kujamiana bila ujauzito.

Tatizo hili la uzazi linatokea kwa mtu yeyote bila kujali kama alishawahi kumpa mimba mwanamke au kama ni mwanamke pia haijalishi kama alishawahi kupata ujauzito siku za nyuma. Mtu anaweza kuwa na historia nzuri kuwa alishawahi kumpa mimba mwanamke.

Kwa ushauri zaidi tupigie kwa namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Kumbuka kuwa, ushauri huu umetolewa chini ya Shirika lisilokuwa la Kiserikali la The Work Up Tanzania (WUTA) ambalo linadhamira ya dhati ya kupambana na umasikini, ujinga na maradhi kwa kuhamasisha jamii kuhusu matumizi ya lishe bora zitokanazo na mimea na matunda. Pia unaweza kufika ofisini kwetu Ukonga Mongolandege jijini Dar es Salaam kwa ushauri zaidi.

No comments:

Post a Comment