Thursday, 29 December 2016

Zifahamu sababu za tumbo kujaa gesi na njia 3 za kumaliza tatizo hilo

(Picha kwa msaada wa mtandao)
Tumbo kujaa gesi ni moja ya tatizo ambalo huweza kumpata mtu yoyote kutokana na sababu mbalimbali.

Miongoni mwa sababu ambazo huweza kuchangia tatizo hili ni pamoja na kutototafuna vizuri chakula au kula haraka, unywaji wa vilevi, kula vyakula vyenye viungo vingi na mara nyingine huweza kuwa dalili za maambukizi fulani.

Dalili za tatizo hili ni pamoja na kukosa hamu ya kula, mpauko juu ya ulimi na kutoka kwa harufu mbaya kinywani.

Hata hivyo, vipo viungo kadhaa ambavyo vinapotumika vizuri huweza kusaidia kupunguza tatizo hilo la gesi kujaa tumboni ambalo limekuwa ni kikwazo kwa watu wengi.

Viungo hivyo ni hivi vifuatavyo;-

1. Mdalasini

2. Tangawizi

3.Kitunguu saumu.

Ikiwa utahitaji kupata ufafanuzi zaidi kuhusu viungo hivyo namna ya kuviandaa usisite kunipigia kwa namba zangu zifuatazo 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Ushauri huu umetolewa chini ya Shirika lisilokuwa la Kiserikali la The Work Up Tanzania (WUTA) ambalo linadhamira ya dhati ya kupambana na umasikini, ujinga na maradhi kwa kuhamasisha matumizi ya lishe bora. Pia unaweza kufika ofisini kwetu Ukonga Mongolandege jijini Dar es Salaam kwa ushauri zaidi.

No comments:

Post a Comment