Wednesday, 4 January 2017

Aina 2 za mimea yenye uwezo wa kuondoa michirizi kwenye ngoziMoja ya tatizo ambalo huchangia kuharibu san muonekano wa ngozi zetu hasa kwa wanawake ni pamoja na hili la kutokwa na michirizi mwilini.

Tatizo hili limekuwa likibadili kabisa muonekano wa ngozi na kumfanya mhusika kutoonekana vizuri

Tatizo hili huweza kutokea kutokana na matumizi ya baadhi ya vipodozi au madawa fulani fulani pasipo kupata ushauri wa wataalam au hata mazingira ya mhusika ya kila siku.

Aidha, tatizo hili pia huweza kuchangiwa na unene kupita kiasi ambayo hii inaweza kuwa sababu kwa watu wengi zaidi.

Hapa nimeona nikuletee huu mmea ambao huweza kupunguza tatizo hilo au kumaliza kabisa endapo utatumika ipasvyo.

Mfano wa ngozi iliyoharibika kwa michirizi
Matumizi ya mualovera kwa kupaka kwenye sehemu yenye tatizo na kusugua kwa taratibu angalau kila siku mara mbili huweza kupunguza tatizo hilo au kumaliza kabisa.

Fanya zoezi hili kila siku hadi pale uonapo mabadiliko ya hali hiyo.

Pamoja na hayo unaweza kutumia pia viazi mviringo kwa tatizo hilo na kupata mafanikio pia

Kwa ushauri zaidi wasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

No comments:

Post a Comment