Saturday, 7 January 2017

Aina 4 za vinywaji ambavyo ukivitumia vitaimarisha afya yakoHabari za leo mdau wangu wa tovuti yetu ya www.dkmandai.com karibu leo tufahamu aina 4 za vinywaji ambavyo ni muhimu kwa afya zetu.

Kwanza juisi ya nyanya.

Hii ni juisi muhimu kutokana na uwezo wake wa kusaidia kuepuka na matatizo ya kibofu na hulinda afya ya mifupa na moyo.

Maji ya nazi
Maji ya nazi
Hiki nacho ni kinywaji muhimu na murua kwani husaidia kuimarisha afya ya akili pamoja na moyo.

Maji

Hiki ni kinywaji muhimu pia kwani husaidia kushusha joto la mwili pamoja na kuondosha sumu ndani ya mwili kupitia njia ya jasho na haja ndogo (mkojo).

Juisi ya komamanga
Juisi ya komamanga
Ni juisi nzuri pia kwani husaidia kuongeza uimara wa mwili yaani 'stability'  pamoja na kuimarisha kinga za mwili kutokana na kuwa na vitamin C ndani yake.

Kwa maelezo zaidi unaweza kuwasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Kumbuka kwamba dondoo hizi zimeletwa kwenu chini ya udhamini wa The Work Up Tanzania shirika lisilokuwa la kiserikali lenye dhamira ya dhati ya kumbana na umasikini ujinga na maradhi. Tunapatikana Ukonga, Mongolandege zilipokuwa ofisi za Mandai Herbalist Clinic zamani.

1 comment: