Wednesday, 18 January 2017

Aina 4 za vinywaji ambazo huweza kuimarisha tendo la ndoa kwa wanaume
Kuna aina ya vinywaji kadhaa ambavyo husaidia kuimarisha tendo la ndoa hasa kwa wanaume.

Vinywaji vifuatavyo huweza kusaidia kuimarisha tendo la ndoa kwa wanaume:-

1. Maziwa

Unywaji wa glasi moja ya maziwa kila siku huweza kusaidia kuimarisha uwezo wa kushiriki tendo la ndoa, hii ni kutokana  na kinywaji hicho kuwa na virutubisho mbalimbali ikiwa ni pamoja na madini ya calcium, magnesium, zinc n.k. ambayo kwa pamoja huimarisha tendo hilo hasa kwa wanaume wa umri wa kati.

2. Asali

Asali ni bidhaa nyingine asili ambayo ni tamu na yenye uwezo wa kuongeza uwezo wa kushiriki tendo la ndoa.

3. Juisi ya ndizi

Ndizi zimesheheni kiini lishe kiitwacho bromelain ambayo ni muhimu kwa wanaume katika kuimarisha hisia za kushiriki tendo la ndoa

4. Juisi ya alovera

Tafiti mbalimbali zinaonesha kuwa juisi hii inauwezo wa kutengeneza hormoni za tendo la ndoa

Hata hivyo, ni vyema kuwasiliana nasi ili kupata ufafanuzi zaidi wa matumizi ya vinywaji hivyo ili kuimarisha nguvu za kiume.

Kwa maelezo zaidi unaweza kuwasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Kumbuka kwamba dondoo hizi zimeletwa kwenu chini ya udhamini wa The Work Up Tanzania shirika lisilokuwa la kiserikali lenye dhamira ya dhati ya kumbana na umasikini ujinga na maradhi. Tunapatikana Ukonga, Mongolandege zilipokuwa ofisi za Mandai Herbalist Clinic zamani.

No comments:

Post a Comment