Tuesday, 3 January 2017

Aina mbili za vinywaji ambavyo ukitumia hupunguza sumu mwilini


Binadamu tumekuwa tukila vitu mbalimbali ambavyo baadhi huwa na manufaa kwa afya zetu lakini baadhi ya vyakula na vinywaji tunavyokula japo ya kuwa na ladha nzuri huweza kuchangia mrundikano wa sumu ndani ya miili yetu.

Sasa kwa kulitambua hilo na kwa kujua kuwa ni ngumu kuchagua kila aina ya chakula na vinywaji kila wakati nimeona leo nikueleze kuhusu aina ya vinywaji hivi viwili vyenye uwezo wa kupunguza sumu mwilini.

Vinywaji hivyo ni juisi ya tikitimaji pamoja na tango ambavyo kwa pamoja huweza kusaidia kuflashi taka ndani ya mwili kupitia haja ndogo pamoja na jasho pia.

Juisi ya tango ambayo nayo inaelezwa kusaidia kupunguza sumu mwilini
Vinywaji vya matunda haya vianuwezo huo wa upunguza sumu mwilini kutokana na kuwa na kirutubisho kiitwacho 'citrulline'

Inaelezwa kuwa unywaji wa vinywaji hivyo husaidia ini pamoja na figo kufanya kazi yake vyema ndani ya mwili.

Kwa maelezo na ushauri zaidi wasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Kumbuka kwamba dondoo hizi zimeletwa kwenu chini ya udhamini wa The Work Up Tanzania shirika lisilokuwa la kiserikali lenye dhamira ya dhati ya kumbana na umasikini ujinga na maradhi. Tunapatikana Ukonga, Mongolandege zilipokuwa ofisi za Mandai Herbalist Clinic zamani

No comments:

Post a Comment