Tuesday, 17 January 2017

Fahamu namna ya kutumia ndimu kumaliza tatizo la mdudu wa kidole


Je, ni mara ngapi umesikia kuhusu tatizo la mdudu wa kidole? Huenda na wewe inawezekana umewahi kpatwa na tatizo hili.

Tatizo hili hutokea kama aina ya jipu kwenye ncha ya kidole chochote cha mkono hasa chini ya ukucha.

Tatizo hili huchangia maumivu makali na kuleta usumbufu wa muda mrefu, lakini huweza kupata ufumbuzi kwa njia hii.

Jinsi tatizo la mdudu wa kidole linavyoonekana
Unaweza kutumia ndimu kwa tatizo hilo la mdudu wa kidole na ndani ya siku tatu hadi tano kunauwezekano mkubwa tatizo likawa limemalizika kabisa.

Ili kufahamu namna ya kuitumia ndimu katika kumaliza tatizo hilo unaweza kutupigia kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

No comments:

Post a Comment