Wednesday, 4 January 2017

Fahamu viungo vitatu ambavyo vitakuepusha na magonjwa mengiHakuna jambo muhimu kama kuwa na afya bora na siku zote ili binadamu abaki kuwa na afya bora ni lazima kinga zake za mwili ziwe imara pia.

Sasa leo nakupatia baadhi ya viungo ambavyo ukijenga utaratibu wa kuvitumia mara kwa mara vitakusaidia kuimarisha kinga zako za mwili na  kukufanya uepukane na magonjwa ya mbalimbali.

1. Pilipi Manga.

2. Binzari/ Manjano

3. Kitunguu swaumu

Kwa maelezo zaidi namna ya kutumia na kuandaa viungo hivyo tupigie kwa namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Kumbuka kwamba dondoo hizi zimeletwa kwenu chini ya udhamini wa The Work Up Tanzania shirika lisilokuwa la kiserikali lenye dhamira ya dhati ya kumbana na umasikini ujinga na maradhi. Tunapatikana Ukonga, Mongolandege zilipokuwa ofisi za Mandai Herbalist Clinic zamani.

No comments:

Post a Comment