Wednesday, 18 January 2017

Fahamu wakati gani ambao si sahihi kwa kunywa maji na upi ni sahihiNaamini kuwa wengi wetu tunafahamu umuhimu wa kunywa maji na tumekuwa tukisikia kutoka kwa wataalam wa afya kuhusu faida zake kiafya.

Sasa leo napenda tufahamu muda gani au wakati gani si sahihi kunywa maji:-

1. Hupaswi kunywa maji punde tu unapomaliza kazi au kukimbia.

2. Unaporudi tu kutoka kwenye shughuli zako

3.Hupaswi kunywa maji mara tu umalizapo kupata kifungua kinywa (chai) au kula chakula.

4. Pia hutakiwa kunywa maji katikati ya kifungua kinywa (chai) mlo.

Je, ni wakati gani sahihi kwa kunywa maji ?

 1. Wakati tumbo lako halina kitu na unajiandaa kupata chakula.

2. Angalau saa 1 kabla ya kula au baada ya kula

3. Mara tu unapoamka asubuhi.

Kwa maelezo zaidi kuhusu mada hii na nyingine nyingi unaweza kuwasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Kumbuka kwamba dondoo hizi zimeletwa kwenu chini ya udhamini wa The Work Up Tanzania shirika lisilokuwa la kiserikali lenye dhamira ya dhati ya kumbana na umasikini ujinga na maradhi. Tunapatikana Ukonga, Mongolandege zilipokuwa ofisi za Mandai Herbalist Clinic zamani.

1 comment: