Wednesday, 11 January 2017

Faida 4 za parachichi kwenye ngozi yako

10 Insanely Cool Ways To Use Avocado In Your Beauty Routine
Yapo matunda mbalimbali ambayo yanasifika kwa uwezo wake wa kutunza na kulinda afya ya ngozi. Miongoni mwa matunda hayo ni pamoja na parachichi.

Zifuatazo ni baadhi ya faida za parachichi kwenye ngozi yako.

1. Kuifanya ngozi kubaki na unyevunyevu na kuondaoa hali ya ukavu na ukakamavu wa ngozi.

2. Huweza kuondoa aina mbalimbali za mba za kwenye ngozi ikiwa litatumika mara kwa mara.

3. Husaidia kumkinga mhusika dhidi ya miale mikali ya jua kutokana na kuwa na kirutubisho kiitwacho 'monounsaturated fat'.

4. Tunda hili huweza kuondoa mikunjo ya ngozi 'ant- wrinkle'.

Kwa maelezo zaidi kuhusu matumizi ya tunda hili unaweza kuwasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0784 300 300 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Kumbuka kuwa ushauri huu umeletwa kwako chini ya udhamini wa The Work Up Tanzania (WUTA) shirika lisilokuwa la kiserikali lenye dhamira ya dhati ya kupambana na umasikini ujinga na maradhi. Tunapatikana Ukonga, Mongolandege zilipokuwa ofisi za Mandai Herbalist Clinic zamani.

No comments:

Post a Comment