Thursday, 5 January 2017

Faida 5 ambazo utazipata kwenye soya pekee


Maharage ya soya ni moja ya vyanzo muhimu vya virutubisho hii kutokana na kuwa na kiwango kizuri cha protini kwa asilimia 40.

Aidha soya inakiwango kidogo cha mafuta ambayo hayana lehemu na hivyo kufanya kuwa na faida kadhaa ndani ya miili yetu ambazo zipo hapa chini:-

1. Soya husaidia kushusha shinikizo la damu

2. Kusawazisha kiwango cha sukari mwilini

3. Husaidia kupambana na matatizo ya figo na moyo

4. Soya pia husaidia kumkinga mhusika dhidi ya saratani ya kibofu.

5. Huweza kuwa suluhisho kwa matatizo kadhaa ya wanawake.

Kwa maelezo zaidi kuhuus namna ya uandaaji mzuri wa soya unaweza kutupigia simu kwa namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Kumbuka kwamba dondoo hizi zimeletwa kwenu chini ya udhamini wa The Work Up Tanzania shirika lisilokuwa la kiserikali lenye dhamira ya dhati ya kumbana na umasikini ujinga na maradhi. Tunapatikana Ukonga, Mongolandege zilipokuwa ofisi za Mandai Herbalist Clinic zamani.

No comments:

Post a Comment