Tuesday, 31 January 2017

Faida 5 za kunywa maji ya nazi mwilini mwako


Maji ya nazi ni kinywaji kizuri chenye ladha ya kuburudisha mdomoni, lakini pia maji haya huwa na faida zake kiafya.

Zifuatazo ni faida za kunywa maji ya nazi:-

1. Ni kinywaji kizuri kwa kushusha kiwango cha msukumo mkubwa wa damu yaani high blood pressure.

2. Pia maji ya nazi ni chanzo kizuri cha vitamin C pamoja na madini ya magnesium na potassium.

3. Hupunguza uchovu utokanao na unywaji wa pombe 'hangovers'

4. Husaidia kupunguza unene kupita kiasi.

5. Husaidia kutuliza maumivu ya kichwa.

Kwa maelezo zaidi unaweza kutupigia kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

No comments:

Post a Comment