Monday, 9 January 2017

Hii hapa orodha ya vyakula vya kuongeza nguvu za kiume


Kuna vitu kadhaa ambavyo wataalam afya na watafiti mbalimbali wamekuwa wakieleza kuwa vinaweza kusaidia kupunguza tatizo la upungufu wa nguvu za kiume.

Leo ninazo hizi njia nyingine ambazo huweza kupunguza madhara ya tatizo hilo kwa wanaume.

Kwanza kwa  kula vyakula asilia hususani vya nyuzinyuzi ambavyo vimesheheni nishati nyingi. 

Vyakula vya nafaka husaidia kuzalisha homoni za ‘testosterone’ kwenye damu pamoja na kumuwezesha mhusika kuwa na nguvu na hatimaye kuongeza kiwango cha uwezo wa kushiriki tendo.

Ulaji wa nafaka zisizokobolewa hufaa zaidi kiafya kuliko zile zinazokobolewa kwani husaidia kuupa mwili nguvu zaidi na hivyo kusaidia kuongeza uwezo wa nguvu za kiume.

Vyakula vingine ambavyo ni muhimu katika kuimarisha tendo la ndoa na kuongeza nguvu za kiume ni pamoja na karanga, ambazo zina kiwango cha madini ‘magnesium’ na zinki ambayo yana umuhimu mkubwa katika uzalishaji wa mbegu za kiume.

Mbali na vyakula hivyo, asali nayo hufaa kwa mtu mwenye shida ya upungufu wa nguvu za kiumea ambaye anaweza kuamua kila siku asubuhi na jioni akawa anapata angalau kijiko kimoja cha chakula cha asali.

Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Kumbuka kwamba dondoo hizi zimeletwa kwenu chini ya udhamini wa The Work Up Tanzania shirika lisilokuwa la kiserikali lenye dhamira ya dhati ya kumbana na umasikini ujinga na maradhi. Tunapatikana Ukonga, Mongolandege zilipokuwa ofisi za Mandai Herbalist Clinic zamani.

1 comment: