Wednesday, 4 January 2017

Mambo 6 utakayoyapata ukitumia nazi mara kwa maraNazi ni moja ya kiungo ambcho hutumiwa sana katika kulngeza ladha ya chakula, lakini pia kiungo hiki hakiishii kuongeza ladha tu bali husaidia pia kulinda afya ya mwili.

Zifuatazo ni baadhi ya sifa za kiungo hiki kiafya.

1. Husaidia kuimarisha kinga za mwili.

2. Huongeza nguvu ndani ya mwili.

3. Huboresha mmeng'enyo wa chakula ndani ya tumbo na kusaidia kunyonya virutubisho mwilini

4. Hupunguza hatari ya kukumbwa na magonjwa ya moyo

5. Husaidia kupunguza uwezekano wa matatizo ya kibofu au ini

6. Husaidia kupunguza uzito wa mwili.

Kwa ushauri zaidi kuhusu namna ya kuitumia vizuri nazi unaweza kuwasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Kumbuka kwamba dondoo hizi zimeletwa kwenu chini ya udhamini wa The Work Up Tanzania shirika lisilokuwa la kiserikali lenye dhamira ya dhati ya kumbana na umasikini ujinga na maradhi. Tunapatikana Ukonga, Mongolandege zilipokuwa ofisi za Mandai Herbalist Clinic zamani.

No comments:

Post a Comment