Tuesday, 24 January 2017

Mambo 7 yakuyafahamu kuhusu embe

Fresh mango organic product on a tropical outdoor background
Hapa nyumbani Tanzania kuna misimu kadhaa ya matunda kwa mfano mwezi huu wa Januari sehemu nyingi matunda kama mananasi ndio yanaelekea mwisho, huku maembe yakishika kasi.

Sasa basi naomba nikwambie mambo kadhaa kuhusu faida za embe ambazo huenda hukuwa kusikia au uliwahi lakini umesahau.

1) Ni chanzo cha vitamin A na E.
2)Ni tunda nzuri kwa afya ya ngozi
3) Huimarisha afya ya nywele
4) Huimarisha uwezo wa kuona vizuri.
5)Hurekebisha mmeng'enyo wa chakula
6)Huongeza nuru ya macho.

Kwa maelezo zaidi unaweza kuwasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

No comments:

Post a Comment