Saturday, 7 January 2017

Sababu 1 ya pekee inayoifanya tangawizi kuongeza nguvu za kiumeTangawizi ni aina ya kiungo mzizi ambacho kimekuwa kikitumika sana jikoni katika kuongeza ladha kwenye chakula na kuongeza harufu nzuri pia.

Lakini leo nataka kukwambia kuhusu kiungo hiki kuwa na uwezo wa kusaidia kupunguza tatizo la upungufu wa nguvu za kiume.

Tangawizi inauwezo wa kuongeza nguvu za kiume kwasababu ya uwezo wake wa  kusisimua mfumo wa mzunguko wa damu ndani ya mwili.

Kwa sababu hiyo pekee inafanya kiungo hiki kuwa na uwezo wa kuimarisha nguvu za kiume kwani kwa kawaida mzunguko wa damu mwilini unapokuwa vizuri huwezesha damu kufika sehemu zote za mwili vizuri ikiwa ni pamoja na sehemu za viungo vya uzazi (uume).

Hata hivyo, inaelezwa kuwa tangawizi imekuwa ikititumika pia maeneo ya Asia kwa ajili ya wanaume wenye shida hii ya upungufu wa nguvu za kiume.

Kwa maelezo zaidi kuhusu matumizi mazuri ya kiungo hiki au kama unatatizo hili la upungufu wa nguvu za kiume unaweza kutupigia sasa kwa namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Kumbuka kwamba dondoo hizi zimeletwa kwenu chini ya udhamini wa The Work Up Tanzania shirika lisilokuwa la kiserikali lenye dhamira ya dhati ya kumbana na umasikini ujinga na maradhi. Tunapatikana Ukonga, Mongolandege zilipokuwa ofisi za Mandai Herbalist Clinic zamani.

No comments:

Post a Comment