Friday, 6 January 2017

Siri 5 zilizopo kwenye kiungo cha hiriki


Zifuatazo ni baadhi ya faida za hiriki

1. Kuondoa harufu mbaya 
Hiriki ina viashiria ambayo vinaweza kuuwa vijidudu vinavyosababisha harufu mbaya katika kinywa.
Jitahidi kutafuna hiriki kila baada ya mlo ili kuacha kinywa chako kikiwa fresh na harufu nzuri.

2.Hiriki inahimarisha afya ya mfumo wa kusaga
Hiriki husaidia kusharabu chakula na pia husaidia kupunguza gasi tumboni, kuondoa kiungulia na kutibu maumivu ya tumbo.

3. Hiriki inasaidia kuleta hamu ya kula
Kutokana uzalishaji wa nyongo kwa ajili ya kunyeyusha vyakula vya mafuta na virutubisho vingine pamoja na kuondoa gas vitu ambavyo vinachangia kuondoa hamu ya kula

4. Hiriki inasaidia matatizo ya kupumua
Tumia hiriki kwa kutafuna kwa kiasi au kwa kunywa kusaidia matatizo ya pumu kama vile kifua kubana na kukohoa.

Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

No comments:

Post a Comment